Top News

VIDEO: Mbunge wa Bukene, Mh. Selemani Zedi akichangia mjadala wa mpango wa taifa bungeni 5-Novemba-2024

Mbunge wa Jimbo la Bukene aiomba Serikali kuongezea Fedha TARURA akisema kuwa barabara ni chanzo cha kukua kwa Uchumi wa Nchi.



WAKATI wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muunganowa Tanzania wakiendelea na Mjadala kuhusu Mpango wa Taifa kwa mwaka 2025/26 Mbunge wa Jimbo la Bukene Mh Selemani Zedi ameishauri Serikali kuboresha Barabara za Vijijini kwa kuwa zinasaidia katika kuleta maendeleoya Kiuchumi.



Akitoa Mapendekezojuu ya mpango wa Taifa ameishauri Serikali kuipatia Mamlaka ya usimamizi wa barabara za Mijini na Vijijini TARURA  fedha za kutosha ili iweze kutekeleza Miradi mbalimbali.

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi